Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 10,509
- 16,734
Wiki iliyopita walikuwa wakiionesha (showing off) meli iliyomzika Osama kule Phillipines ambapo raisi Arroyo na waandishi wa habari walipata fursa kuingia ndani na kuzungumza na mabaharia wake.
Sasa mizunguko yote hiyo ya nini.Mara picha,mara meli ,mara video.........Muhimu ni picha za maiti ya Osama hata ikiwa zinatisha!.
Sasa mizunguko yote hiyo ya nini.Mara picha,mara meli ,mara video.........Muhimu ni picha za maiti ya Osama hata ikiwa zinatisha!.