Al muntazir kuna ubaguzi wa kiiman | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Al muntazir kuna ubaguzi wa kiiman

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gama, Nov 10, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Nov 10, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  Nimesikia kutoka kipindi cha maswali na majibu cha bunge kuwa shule za al-Muntazir inayomilikiwa na WASHIA ina upendeleo kwa wanafunzi wenye imani hiyo.. Hii imekaaje?!
   
 2. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Ni sawa akitaka hao wa dhehebu lake nao wajenge shule siyo kulia lia. Sisi Washia tunataka serikali iturudishie shule zetu kama Zanaki, Azania, Jangwani n.k......wao waendelee kucheza bao tu wasubiri kuja kusoma kwenye shule zetu
   
Loading...