Al Ahly wanastahili kucheza hata UEFA Champions League

Mpira ni pesa wewe wala siyo hiyo miongo unayosema. Unafikiri Psg imewachukua miongo au zimewekwa pesa ndio wakawafikia Marseille? Au Man city imewachukua miongo hapo walipo au ni pesa?
Bila pesa hata ingekuwa karne hautafika pale walipo kwa maana ya kusakata kabumbu.

Halafu unapoikejeli timu moja tena inayojitahidi unaonekana shabiki maandazi. Hivi kati ya mambo ya brand , press conference na timu nyingine kutokuwa na uwanja hata wa mazoezi ipi inakwamisha kupiga hatua?
Au timu zingine zimekatazwa kufika mbali? Utopolo bhana!
Ukihangaika na Uto utaumiza kichwa chako, unawapuuza tu.
 
Mpira ni pesa wewe wala siyo hiyo miongo unayosema. Unafikiri Psg imewachukua miongo au zimewekwa pesa ndio wakawafikia Marseille? Au Man city imewachukua miongo hapo walipo au ni pesa?
Bila pesa hata ingekuwa karne hautafika pale walipo kwa maana ya kusakata kabumbu.

Halafu unapoikejeli timu moja tena inayojitahidi unaonekana shabiki maandazi. Hivi kati ya mambo ya brand , press conference na timu nyingine kutokuwa na uwanja hata wa mazoezi ipi inakwamisha kupiga hatua?
Au timu zingine zimekatazwa kufika mbali? Utopolo bhana!

U timu umemjaa, mpira hajui huyo
 
Yes, no doubts

Nipo sebuleni kwangu naangalia mpira wa Al ahly vs Bayern Munich aiseee siamini kama kuna timu kutoka Africa inaweza cheza kwa kujituma katika level hiii. Timu za Tanzania zina safari kubwa ambayo itawachukua miongo kadhaaa kuwafikia hawa jamaaa.

Congratulations KWA league ya Misri, mpira ni pesa, mpira ni uwekezaji. Mpira sio press conference kila siku. Kufika level kunahitaji vision na sio ubabaishaji wa mitandaoni eti mnalinda brand. Huu ndio mpira sasa, hawa jamaa wanaweza cheza hata UEFA na kuna timu za kijinga jinga zinachezea goals za kutosha.

Ni hayo tu
uzi ulikua mzuri lakin umezidisha unazi wa utopolo .timu haina ontaget haina conner dk 90
 
Yes, no doubts

Nipo sebuleni kwangu naangalia mpira wa Al ahly vs Bayern Munich aiseee siamini kama kuna timu kutoka Africa inaweza cheza kwa kujituma katika level hiii. Timu za Tanzania zina safari kubwa ambayo itawachukua miongo kadhaaa kuwafikia hawa jamaaa.

Congratulations KWA league ya Misri, mpira ni pesa, mpira ni uwekezaji. Mpira sio press conference kila siku. Kufika level kunahitaji vision na sio ubabaishaji wa mitandaoni eti mnalinda brand. Huu ndio mpira sasa, hawa jamaa wanaweza cheza hata UEFA na kuna timu za kijinga jinga zinachezea goals za kutosha.

Ni hayo tu
Anza kwa kulinganisha na uchumi wa Tanzania vs Misri.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Daah!! Kwa upande wangu naona bado sana hata hiyo Al Ahly kufika level za kucheza Uefa Champions league kwani jana ni kama muda wote walikuwa wanabakia nyuma tu sa sijui walikuwa na lengo gani nadhani ilikuwa kupunguza idadi ya magoli ambayo wangechakazwa. Pia mipira ilikuwa haikai miguuni.

Na ndio sababu hata Possession Al Ahly waliachwa mbali sana na Bayern Munich na pale kwa jinsi ligi ya Germany ilivyo hata angekuwa Mainz 😅 angemtoa sana jasho Al Ahly kwani sisi soka letu Afrika mpaka mtu anakuwa bingwa ni mwendo wa fitna tu na ushirikina hamna mpira wa mana tunaocheza tofauti na wenzetu Ulaya.
 
Mpira ni pesa wewe wala siyo hiyo miongo unayosema. Unafikiri Psg imewachukua miongo au zimewekwa pesa ndio wakawafikia Marseille? Au Man city imewachukua miongo hapo walipo au ni pesa?
Bila pesa hata ingekuwa karne hautafika pale walipo kwa maana ya kusakata kabumbu.

Halafu unapoikejeli timu moja tena inayojitahidi unaonekana shabiki maandazi. Hivi kati ya mambo ya brand , press conference na timu nyingine kutokuwa na uwanja hata wa mazoezi ipi inakwamisha kupiga hatua?
Au timu zingine zimekatazwa kufika mbali? Utopolo bhana!
Mashabiki wa utopolo ni wa ajabu sana. Yule kocha hakukosea kuwaita manyani kazi yao kubweka bweka tu.
 
Daah!! Kwa upande wangu naona bado sana hata hiyo Al Ahly kufika level za kucheza Uefa Champions league kwani jana ni kama muda wote walikuwa wanabakia nyuma tu sa sijui walikuwa na lengo gani nadhani ilikuwa kupunguza idadi ya magoli.

Na ndio sababu hata Possession Al Ahly waliachwa mbali sana na Bayern Munich na pale kwa jinsi ligi ya Germany ilivyo hata angekuwa Mainz 😅 angemtoa sana jasho Al Ahly kwani sisi soka letu Afrika mpaka mtu anakuwa bingwa ni mwendo wa fitna tu na ushirikina hamna mpira wa mana tunaocheza tofauti na wenzetu Ulaya.
Ndio maana nakupenda uko tofauti na utopolo wenzio.
 
Back
Top Bottom