Al Ahly SC vs Young Africans, Mar 09, 2014 – Live Stream

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,023
Reaction score
13,370
Taifa stars ikicheza hata ikiwa na wachezaji wa yanga tu nitaishangilia sana.Ila siwezi kuiombea heri Yanga iwatoe waarabu huko Misri,haiwezekani.Watatusumbua sana huku mtaani.AL AHLY NAOMBA MUWAFUNGE YANGA ILI TUHESHIMIANE HUKU KITAA.
#TEAM AZAM FC
 
Tena uzuriwake wapigwe mkono (tano)
 
Tena uzuriwake wapigwe mkono (tano)
Hapo mnajidanganya tu achen wivu kama azam siku nyingi tumesha wasahau labda wajarib tena mwakan....simba labda 2025 ndio watarud kwenye fom.yanga lazima ishinde.
 
hapo mnajidanganya tu achen wivu kama azam siku nyingi tumesha wasahau labda wajarib tena mwakan....simba labda 2025 ndio watarud kwenye fom.yanga lazima ishinde.

nimekosa kitufe cha like mkuu otherwise ningekumwagia za kutosha.............................team yanga
 
Hapo mnajidanganya tu achen wivu kama azam siku nyingi tumesha wasahau labda wajarib tena mwakan....simba labda 2025 ndio watarud kwenye fom.yanga lazima ishinde.

... Ndio maana mimi, familia yangu, rafiki zangu, waajiriwa wangu na majirani zangu hatumii takataka zote zenye jina la azam ....!!!
 
najua waarabu hawana masihara.......lazima yeboyebo warudi vichwa chini hapa...na watapoteana tu......airport Dsm kila mmoja na njia yake..
 
Yanga utake usitake utaipenda tu maana ndio timu ya wananchi.!!
 
TIMU AL AHLY FUNGA HAO KANDAMBILI GOLI 3 TU WARUDI TZ WAKAWASAIDIE SIMBA KUFYEKA UWANJA KULE BUNJU KWANI Mikia WAMESHAPELEKA VITI WALIVYONG'OA UWANJA WA TAIFA!!
 
najua waarabu hawana masihara.......lazima yeboyebo warudi vichwa chini hapa...na watapoteana tu......airport Dsm kila mmoja na njia yake..
Habari za bunju kazi inaendeleaje huko leo ni siku ya tisa jaman vip watu wanajitokeza kama walivyo jitokeza kujenga jengo la club pale kwenye msonga mano?
 
Ha ha haaaa watarudi na hadithi unajua umbali kwenda kwa basi na nn sijui ulituchosha sana! Sisi tulitaka Cairo tu huko Alexandria hatuttegemea!!!!!!
 
Habari za bunju kazi inaendeleaje huko leo ni siku ya tisa jaman vip watu wanajitokeza kama walivyo jitokeza kujenga jengo la club pale kwenye msonga mano?

ngoja kwanza liishe hili la waarabu....
 
Taifa stars ikicheza hata ikiwa na wachezaji wa yanga tu nitaishangilia sana.Ila siwezi kuiombea heri Yanga iwatoe waarabu huko Misri,haiwezekani.Watatusumbua sana huku mtaani.AL AHLY NAOMBA MUWAFUNGE YANGA ILI TUHESHIMIANE HUKU KITAA.
#TEAM AZAM FC

Ha ha ha....!hv cku ile ulivunja viti vingapi vile!?
 
Mkuu mimi nipo AZAM FC. MIKIA NDO WAMEIBA VITI PALE TAIFA WAMEPELEKA SHAMBANI BUNJU! WIKI IJAYO TUNAENDA KUKAGUA KULE OLE WAO TUKUTE VITI VYA UWANJA WA TAIFA
 
Back
Top Bottom