Akumbukwe: Ramadhani Singano "Messi"

Akumbukwe: Ramadhani Singano "Messi"

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2017
Posts
2,376
Reaction score
5,471
Huyu dogo alikuwa na kipaji sana. Sana walimwita Messi. Ramadhani Singano. Alipotelea wapi? Anafanya nini kwa sasa?

Kizazi chake katika soka ni akina Mohammed Hussen kama sijakosea. Hawa tunawaona bado. Yeye yu wapi?
 
Jamaa alikuwa TP Mazembe, akaja kuwashataki nadhani alipata award ya Shs 1B+
 
Akafie mbali huyo, si alijifanya amewaweza simba
 
Yupo nchini amejenga msikiti mkubwa sana kigamboni
 
Dogo atakuwa anakula tu mafao yake. Mzigo wa bilioni 1+ uliingia kwenye akaunti yake ya NMB! Baada ya gharama za kuwalipa mawakili wake na tozo za hapa na pale, lazima tu atakuwa amelaza milioni 800-900 hivi.

Sasa akiamua kuwekeza hiyo hela kujengea nyumba za wageni na zile za kuoangisha kwenye maeneo mazuri; hapo kila mwezi unakusanya tu kodi maisha yako yote. Hakika Tp Mazembe watakuwa mpaka sasa wanajutia sana kumfahamu huyu dogo.
 
Back
Top Bottom