Akudo Impact vs Fm Academia: Nani mkali?

GP

JF-Expert Member
Feb 5, 2009
2,049
160
wakuu naomba kuwasilisha mada ya nani yuko juu kati ya wazee wa masauti na wazee wa pamba, wazee wa mujini, wazee wa blingbling!.

nawasilisha.
 
WAZEE WAMASAUTI, hawadanganyi hao.
wazee wa mimina mimina!
wazee wa USITINGISHE,weita leta ingine
wazee wa NASIKIA RAHAA,NASIKIA RAHAAAAAAAA
wazee wa KANDAMIZA EEEEEEH MAMA kandamiza

hapa KANAL TOP,hapa ALLEN KABASSEELE,hapa christian bella,
ni noma!NI BALAAA

wazee wa SHIKAMOO MUZEEE.........,ale TOOOOOOOOOOOOOOOOOOOKA MARAHBAAAAAAAAAA

au tufanye hivi,NJOONI MSASANI BEACH KESHO PASAKA
 
hahahaha raha kwelikweli kama Simba na Yanga miaka ilee!!
omba ma mods waweke poll watu wapige kura!
 
wazee wa masauti mmwanzo mwisho!.... kama ni timu basi ni barca..yako wapiiii mapenzi yako
 
Kwenye Kuvaa Ngwasuma,kwenye kuimba Ngwasuma,kwenye kucheza Ngwasuma,kwenye masauti Akudo,hivyo FM ACADEMIA IPO JUU
 
Wazee wa Ngwasuma without a doubt wapo juu sana allround, sebene zauwakika na zimeenda shule. Lakini Akudo wanakuja kwa kasi ya ajabu. Nyimbo kama "Mapenzi yakowapi" na "Mama Venesa" sio zakawaida. Lakini bado awajaji prove, tuwape mda tu na tunaweza tukawa tunaongea mengine hapa.
 
Ngwasuma wapo juu zaidi japo huwezi kukataa kuwa Akudo Sound wamekuja kwa kasi ya ajabu na wanawashika ipasavyo wapenzi wa muziki wa dansi Tanzania.

FM Ngwasuma wamevuma kuanzia siku nyingi,wanawajibika jukwaani na pia wana nyimbo nyingi sanaa...
 
Wazee wa masauti wako juuuu!.....ganda kama kinyago,,...tembea kiroboti, fulu mastaili. Wazee wa zamani kwaheri!
 
Ukitaka kumpima demu anajua kukata mauno basi nenda Ngwasuma.......huwa nakaa mbele nala kozi huwa full shangwe....wazeiya ngwasuma kiboko......
 
Hivi kuna dude kali zaidi ya "yako wapi mapenzi ouoooh, dunia hii...we mubaya!"

Wazee wa masauti kina Bella balaa.
 
Wote bomba ila nawapenda sana Akundo wana midundo poa sana ya kunye***a!
 
- Wazee wa Mujini hawana mpinzani kwa bongo sasa hivi, Akudo cha mtoto mambo yote Wazee wa funika bovu XXL, yaani sasa wamefikia mahali ukitaka tiketi ya dance lao la next week inakuwa fullhouse hakuna tiketi, hiyo haijawahi kutokea bongo.

Respect.

FMEs!
 
Geeque ,
Hapo umefanya kweli, sikiliza hizo mbili utaona wazee wa masauti wako mbali na Quality....Masauti JUU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom