Akuanzae mmalize!

Zindu umedai anakuPM kwa minajili ya kutaka kukuweka dhambini.
Swali :
Yapo mengi yafanywayo na Mwana wa Adamu kumpeleka dhamini, ni lipi akutakalo huyo mtu hadi ufikie maamuzi haya?
Anakushawishi mkaibe?
Mkaue?
Mtete watu?
 
Mambo Jg
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…