Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
usikimbie mie bado niko secondary tuendelee kuchat
Aka...ntafungwa
usikimbie mie bado niko secondary tuendelee kuchat
duh ...watu waongo jamani.
hii ni akon alipofanya show trinadad and tobaco.......hebu ona hapo bendera nyukundu na stripes nyeusi!
huyo mtoto alikuja kujuulikana kuwa ana miaka 14 au 16 ( nimesahau kwa kuwa ni habari ya siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii)
msizue jamani...akkkkr
Aka...ntafungwa
hahaha hehehe mie nimeipata kwenye google ngoja nimpigie mzee zuma anipe habari kamili teteteteth