Akna Sitti ni wengi nchi hii

Samwel Meleka

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
601
Reaction score
269
Urahisi
 

Attachments

  • 1421867681099.jpg
    66 KB · Views: 1,217
  • 1421867706719.jpg
    69.9 KB · Views: 1,040
7th January 1975 and 7/7/1978
Mmmh...hapa hiki cha chuo ndio kimechakachuliwa
 
Duh!! ndo kumbe maana walikua wanaogopa kumnyooshea Sitti kidoleee...

Kuna na yule mwingine aliyesema Tanzania got its independence on one-nineteen sixty one yule alikua naibu waziri wa elimu sijui kapotelea wapi siku hizi Mulugo!!!
 
Huyu ndugu alichelewa shule ya msingi eeh!miaka 19 form one!
 
Inawezekana wazazi wake hawajui kusoma wala kuandika ndio maana hawajui mwaka wake wa kuzaliwa alianza kujua mwaka wake wa kuzaliwa kwa kukadiria kadiria tu kufuatana na matukio mbalimbali aliyosimuliwa
 
Mwigulu anapaswa kufungwa kibwebwe kama alivyofungwa sitti mtenvu hadi akatemeshwa taji
 
Ndiyo anataka kuwa rais wetu kwa gia kama hii? Miaka 10 ya vimbwenga vya JK ni kiama kwetu na sasa aje mtu kama Mwigulu si ni balaa jamani? Hatuhitaji CCM tena hapa Tanzania.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…