Akiwa tungi anaperfom game hatari why?

Head current

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2013
Posts
479
Reaction score
128
wakuu mwenza wangu akiwa amegusa kilevi panakuwa hapatoshi kwenye mechi more than akiwa normal kwa maana anaperfom good zaidi je sasabu ni zipi? je haya yameshakukuta?
 
wakuu mwenza wangu akiwa amegusa kilevi panakuwa hapatoshi kwenye mechi more than akiwa normal kwa maana anaperfom good zaidi je sasabu ni zipi? je haya yameshakukuta?
Inaonekana Hayupo free na wewe akiwa na akili zake, aidha anakuonea aibu au ana pretend kutofahamu mambo wakati amekubuhu. Kwa Hiyo inapotokea amekunywa pombe huongozwa na pombe ambayo humweka katika uhalisia wake na hivyo kujikuta kufanya vitu kwa uhalisia wake, ikiwa ni pamoja na kutokuwa na hofu, uoga, unyoronyoro na zaidi huenda pombe anayokunywa humwongezea mihemko na bashasha za kungonoka yaani Nyege!
 
Hao wako wengi sana..umeshawahi kukutana na mtu anataka kuvuta weed halafu ndio akupe game????? Mwenyewe unaenda kwa pusha ili usikaukiwe na weed gheto
 
bila shaka unatania!!
 
mwanamke gani huyo yuko controlled na pombe kiasi hicho
 

Mkuu nadiriki kusema huu ni uwongo mkubwa na ni maongezi ya kwenye vijiwe vya kahawa!Wapo watu wakubwa kama Billy Clinton,Obama wana watoto wa kike tu,je walikuwa wamelewa pia?Unadhani wewe unawazidi akili au wao hawapendi watoto wa kiume?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Next time mnywe wote grants iliyochanganywa na amarula alafu ulete majibu hapa
 
mambo ya Zanzi sio? Nna mashaka na huyo demu wako...
 
Hakupendii mpaka anywe pombe ndio awe na stimu na wewe lol
 
Kawaida sana mkuu ndo ilivyo
 
Ngoja nijifunze kunywa pombe nije kuona matokeo yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…