Na mkioana wakija watafikia kwenu na mkeo atahamia chumba cha wageni mpaka waondoke!!!!
Kwenye hili nahitaji msaada wa mawazo ndugu zangu..
Niko kwenye mahusiano na dada mmoja,tunaishi Iringa-Kihesa. Tupo pamoja muda mrefu kidogo, tunapendana, kwa ujumla maisha yetu ya mapenzi ni mazuri hadi kufikiria kufunga ndoa mwakan.
Lakin tatizo lake ni mashoga zake ambao wengine wanaishi dar, wengine mwanza.. hawa rafiki zake huwa wanakuja iringa kila baada ya miezi miwili..hawa rafiki zake wakija iringa wanafikia kwao(kwa mpenzi wangu ) maana wanatambulika na wazazi wake..hawa rafiki zake wanapokuja ni lazima tugombane mm na mpenzi wangu maana anapunguza kabisa attention kwangu. Mara utasikia wamekwenda Ruaha national park bila kuniambia mm..na sio kawaida yake kwenda...sehemu bila kuniambia...mara nikimpigia simu ananijibu vibaya kwa dharau au sometimes hapokei simu kabisa..akipokea anasema amechoka anataka kulala..ili mradi tu tugombane..she s real soundin weird.
Rafiki zake wanaweza kukaa wiki mbili iringa..na pindi wanapoondoka mambo yanakuwa kawaida..tunaishi vizuri..tunaheshimiana..tunapendana...
Nahitaji ushauri nifanye nn
kilambalambila... Usishangae akiwa na hao unakuwa huna thaman ukipiga simu anaona kero na wanakaa kukujadili na ha6arafiki...unachosema hata mm huwa nahisi hivo..sasa nifanyeje
binamu upuuzi uliofikiria ni sahihi kabisa maana hata jamaa huyu jamaa yaweza hajajitambua.....Nimefikiria kipuuzi tu, nikapata sababu lukuki kama ifuatavyo
Nakushauri kaa naye chini na mueleze wazi kusikitishwa na hizo tabia na umtake ajirekebishe kama atakuwa mkorofi basi mojawapo la hayo niyoyataja hapo juu yanaweza kuwa ni kweli!
- Hajui kutofautisha nafasi ya mpenzi na marafiki wa kawaida au
- Inawezekana hajawaambia hao rafiki zake kuwa ana mchumba/mpenzi ambaye ni wewe na hayuko tayari kufanya hivyo sasa au
- Ana mwingine ambaye anatambulika na hao rafiki zake na wewe upo kama mtu wa kuzugia tu
- Au yuko na wewe kwa kampani tu, hafikiri kama utakuwa mume huko baadaye
- Au hajiamini anaona aibu kukutambulisha au kuwa karibu na wewe akiwa na rafiki zake
Kila la kheri,
HP
hahahaaaa Tumboo vp mbn unatutoa kwny mada!??!!!!!lakini si umemuelewa?Hujui ku quote
hapana chezea wasichana kuna siri ndani yake
henda ana mpenzi mwingine na hao mashosti wake wanamjua kwa hiyo wewe htambulikani ndo mana anakupotezea
au hawez kutofautisha urafiki na mahusiano....
Mmmhh huenda rafiki zake walimponda 'mmhh huyo shem sura mbaya ka fenesi kifupii loh'
akaona awe anakudis akiwa nao
hapana chezeiya girls!!!!
upo?
hapana chezea wasichana kuna siri ndani yake
henda ana mpenzi mwingine na hao mashosti wake wanamjua kwa hiyo wewe htambulikani ndo mana anakupotezea
au hawez kutofautisha urafiki na mahusiano....
Nimefikiria kipuuzi tu, nikapata sababu lukuki kama ifuatavyo