TAWA
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 3,673
- 1,571
Hivi hata tukiamua kufanya uchaguzi wa kijiji hiyo 2020 huyu mwenyekiti wetu atakubali kutoka madarakani kama atashindwa?
Kwa hali ninavyoiona sijui kama atakubali ukizingatia kwamba kila mtu anamuogopa hata baraza la wazee wanaosimamia upigaji wa kura.
Mimi nadhani tusipoteze pesa za kufanya uchaguzi, huyu mwenyekiti apitishwe tu, hizi pesa zitumike kwa shughuli nyingine za maendeleo ya kijiji chetu kama vile kununua dawa na kujenga barabara.