Akishakua na tattoo tu simtaki tena

Akishakua na tattoo tu simtaki tena

Matakataka hayo mtu mwenye akili zake zinazomtosha anaanzaje kuchora tatuu. Mimi kuna manzi nilimpata week moja tuu nikasikia anasifia tatuu alizoona kwenye tv kesho yake nikapiga chini
Hahahaha,mi nahis dem mwnye tattoo kibongo bongo lazma anakua na characters fulan fulan,yaan ameshindikana
 
Cristiano Ronaldo Pamoja Umarufu Wote Lakin Hana Tattoo
..Me Nahamin Mtu Mwenyewe Tattoo Ni Muhuni
 
Matakataka hayo mtu mwenye akili zake zinazomtosha anaanzaje kuchora tatuu. Mimi kuna manzi nilimpata week moja tuu nikasikia anasifia tatuu alizoona kwenye tv kesho yake nikapiga chini
Same to,Sipendi mwanamke limbukeni kwanza ata upendo wake nakua na mashaka nao.
Akivua utadhani mpigana mieleka.Mpaka leo hajui kwanini nilimwacha.
 
Utakuta mwingine hadi amekuwa kama chatu , hapantaka mimi mambo haya
 
mimi sio lori mkuu mimi benzi tena new model
huwezi chorachora benzi hovyo hovyo wenye matatoo ni kama malori tu

teh teh
Hahaha wacha weeh, nasikia wachaga wanazaliwaga na tattoo ya hela kwenye moyo[emoji12] [emoji40] [emoji125]
 
Back
Top Bottom