japhet nkwabi Member Joined Mar 8, 2013 Posts 91 Reaction score 16 May 28, 2013 #1 sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi
sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi
Ablessed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 4,616 Reaction score 3,502 May 28, 2013 #2 japhet nkwabi said: sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi Click to expand... Subiri waamke wamelala.
japhet nkwabi said: sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi Click to expand... Subiri waamke wamelala.
Kirikou Wa Kwanza JF-Expert Member Joined May 24, 2013 Posts 3,564 Reaction score 1,992 May 28, 2013 #3 Ablessed said: Subiri waamke wamelala. Click to expand... Hu hu huu ati bado wamelala... Ha ha haa!
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 May 28, 2013 #4 i can predict ..............
miss username Member Joined Mar 30, 2013 Posts 78 Reaction score 32 May 28, 2013 #5 Mi hapa bado niko macho ngoja nikupm namba ila sijui kama utanipenda manake hujaweka sifa japhet nkwabi said: sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi Click to expand...
Mi hapa bado niko macho ngoja nikupm namba ila sijui kama utanipenda manake hujaweka sifa japhet nkwabi said: sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi Click to expand...
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 May 28, 2013 #6 Unajua maana ya ndoa wewe? Au unaongea tu kwa vile neno kuoa ni jepesi kutamkika?
Asnam JF-Expert Member Joined Jan 18, 2012 Posts 4,256 Reaction score 2,949 May 28, 2013 #7 Kipipi said: Unajua maana ya ndoa wewe? Au unaongea tu kwa vile neno kuoa ni jepesi kutamkika? Click to expand... we hutaki kuvaa wedding dress best..........huyu mwenzetu anatafuta ndoano
Kipipi said: Unajua maana ya ndoa wewe? Au unaongea tu kwa vile neno kuoa ni jepesi kutamkika? Click to expand... we hutaki kuvaa wedding dress best..........huyu mwenzetu anatafuta ndoano
japhet nkwabi Member Joined Mar 8, 2013 Posts 91 Reaction score 16 May 28, 2013 Thread starter #8 kama huwa kuna alama za kutafuta mchumba zitaje siyo kupondea
D darshan Member Joined Apr 29, 2013 Posts 46 Reaction score 6 May 28, 2013 #9 mh!kwa stlye hii hapana.
Mlandege JF-Expert Member Joined Nov 21, 2012 Posts 1,198 Reaction score 582 May 28, 2013 #10 Mkuu mpaka sa hv hata beep hujapokea??tafadhali nipigie?? PM hawajaja???
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 76,360 Reaction score 108,504 May 28, 2013 #11 Kipipi said: Unajua maana ya ndoa wewe? Au unaongea tu kwa vile neno kuoa ni jepesi kutamkika? Click to expand... Labda anamaanisha kuwowaa...Wasukuma nadhani watakuwa wamenielewa
Kipipi said: Unajua maana ya ndoa wewe? Au unaongea tu kwa vile neno kuoa ni jepesi kutamkika? Click to expand... Labda anamaanisha kuwowaa...Wasukuma nadhani watakuwa wamenielewa
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,097 May 28, 2013 #12 Mweee!!
Joseph JF-Expert Member Joined Aug 3, 2007 Posts 3,518 Reaction score 1,090 May 28, 2013 #13 Kipipi said: Unajua maana ya ndoa wewe? Au unaongea tu kwa vile neno kuoa ni jepesi kutamkika? Click to expand... Ndoa anayomaanisha mwenzetu hapa ni pale kwa kitanda akiwa anashughulika,ngoja akutane na wenzake ambao nao ni wa namna yake wakaoane fasta.
Kipipi said: Unajua maana ya ndoa wewe? Au unaongea tu kwa vile neno kuoa ni jepesi kutamkika? Click to expand... Ndoa anayomaanisha mwenzetu hapa ni pale kwa kitanda akiwa anashughulika,ngoja akutane na wenzake ambao nao ni wa namna yake wakaoane fasta.
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,976 May 28, 2013 #14 Ndoa kwa njia ya posta. gfsonwin dili lingine hili hapa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 May 28, 2013 #15 King'asti said: Ndoa kwa njia ya posta. gfsonwin dili lingine hili hapa. Click to expand... tena @gfsonwin inabidi huku akomalie sana......,maana huyu anahitaj fasta,hata elim anaeza kuwa amemzidi yule wa mtaa wa pili
King'asti said: Ndoa kwa njia ya posta. gfsonwin dili lingine hili hapa. Click to expand... tena @gfsonwin inabidi huku akomalie sana......,maana huyu anahitaj fasta,hata elim anaeza kuwa amemzidi yule wa mtaa wa pili
kirumonjeta JF-Expert Member Joined Feb 9, 2008 Posts 3,966 Reaction score 1,968 May 28, 2013 #16 Mbona kupima haitajwi au ni wale tu wanaojitambua??????tutauwana namna hii jamani
IHOLOMELA JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 1,807 Reaction score 1,677 May 28, 2013 #17 ukipata wengi naomba unigawie na mie manake sote twahitaji lakn ndo hvo tena domo zege
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 May 28, 2013 #18 King'asti said: Ndoa kwa njia ya posta. gfsonwin dili lingine hili hapa. Click to expand... bana hawa hawanitaki mimi kisa nauza steshenari manzese bana! ila poa tu ntapata atakaye nipenda.
King'asti said: Ndoa kwa njia ya posta. gfsonwin dili lingine hili hapa. Click to expand... bana hawa hawanitaki mimi kisa nauza steshenari manzese bana! ila poa tu ntapata atakaye nipenda.
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 May 28, 2013 #19 Heaven on earth said: tena @gfsonwin inabidi huku akomalie sana......,maana huyu anahitaj fasta,hata elim anaeza kuwa amemzidi yule wa mtaa wa pili Click to expand... sasa huyu naye sio kaa @krikou wa kwanza?? manake nikimkubali utaona anaaza kunizingua bana. ngoja nijaribu bahati yangu bana.
Heaven on earth said: tena @gfsonwin inabidi huku akomalie sana......,maana huyu anahitaj fasta,hata elim anaeza kuwa amemzidi yule wa mtaa wa pili Click to expand... sasa huyu naye sio kaa @krikou wa kwanza?? manake nikimkubali utaona anaaza kunizingua bana. ngoja nijaribu bahati yangu bana.
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 May 28, 2013 #20 japhet nkwabi said: sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi Click to expand... Japhet nkwambi je utanipenda mimi umri wangu ni miaka 22 kazi yangu nauza steshenari manzese na naish kwa mfuga mbwa. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
japhet nkwabi said: sina utani na mtu humu ndani kiukweli akipatikana binti alietayari kuingia kwenye ndoa njoo kwa 0768964697 kwa maelezo zaidi Click to expand... Japhet nkwambi je utanipenda mimi umri wangu ni miaka 22 kazi yangu nauza steshenari manzese na naish kwa mfuga mbwa.