Thatha hapo ujue kaanza kumegwa,Mama mwenye nyumba.
Anakuwa sinia hausigelo.
Jibu sahihi kabisa... Hahaha
Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD
HABARI WANA jf, KUNA SWALI LINANITATIZA
kondakta akipandishwa cheo anakua Dereva,
Shemasi akipandishwa cheo anakuwa mchungaji,
Mwalimu akipandishwa cheo anakuwa Headteacher,
Je hausgeli ama bekitatu akipandishwa cheo anakua nani?
Kwasababu serikali imesema tuwapandishe vyeo wananchi.
very easy anakua mke mwenza!