Idhae
JF-Expert Member
- Aug 6, 2014
- 609
- 277
Jamaa yangu mmoja wa karibu (jina nalihifadhi) yamemkuta. Ni mfanya biashara wa vifaa na vitu vya electronic, alianza uhusiana na binti mmoja wakati yuko secondary olevel, na kuanza kumwezesha katika safari yake ya masomo.
Binti kaingia advance then chuo (diploma) ya nursing. Baada ya kupata kazi jamaa kamuona na wana mtoto mmoja.Jamaa kafilisika, nyumba waliyokuwa wanakaa iko mbioni kupingwa mnada na taasisi za kutoa mikopa.
Sasa jamaa ana hali mbaya kwani mke aliyechangia kumsomesha kamkimbia kaenda panga chumba na hamtaki jamaa tena,ambaye kafilisika na,nyumba iko mbioni kupigwa mnada.
Yaani matatizo juu ya matatizo, nawasihi wanawake wawe na upendo na waume zao hata kama itatokea wafukuzwe kazi au wafilisike.
Mtusitiri jamani