Akinya kuku shidaa hatulali ila akinyaa bataa kelele

Akinya kuku shidaa hatulali ila akinyaa bataa kelele

paulndasi9

Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
83
Reaction score
9
Tanga hiyoo jana
 

Attachments

  • 1443513451202.jpg
    1443513451202.jpg
    18.4 KB · Views: 967
Kuna shida gani watu kuamua kwenda kwa utashi wao kumuona rais wao kipenzi. Wana furaha na wanaonekana hawajalazimishwa kama wale wa upande wa pili ambao hupewa jezi na kanga. Hao vijana sijaona mwenye jezi ya chama hapo. Ni mahaba tu kwa rais wao.
 
Duh!! Tanga na bango la Mbatia? kweli maCCM yameisha kuwa mavichaa naona mafuriko ya Tanga yamewamaliza kabisa.
 
Huwa napata hasira sana ninapoliona lijitu na midevu yake au lijimama linashabikia sisiemu wakati umeme hakuna na yenyewe hayaishi kulalamika.
 
Back
Top Bottom