akinitolea nje itakuwa je?

akinitolea nje itakuwa je?

mimi nimekata shauri sahv wadau wengi wamenishaur vivur japo wengne wanadhani mm nasoma vidudu kumbe sahv nsakuwa mkubwa nipo chuo kikuu na chuo kikubwa pia umri nao umesoge, namtokea potelea mbali jb ntakalo kumbana nalo
 
utupe feedback mkuu.
 
Hivi jamani kuna muda maalumu wa watu kutongozana.? Maana naona kila mtu anasema soma kwanza, soma kwanza! Wimbo ni ule ule. Nakumbuka nikiwa o level niliambiwa soma kwanza, advance-soma kwanza. Nilipoanza chuo-soma kwanza, nilipomaliza chuo-tafuta hela kwanza. Mara oooh, wanawake wapo tu! Shiit! Hivi wazazi wa siku hizi mkoje? Nani anaweza kunithibitishia kwamba alipokuwa chuo alikuwa hana mtu? Nimekumbuka na tano bila ya muhimbili, loh! Dogo we jilipue tu ila usiwe na expectations za kukubaliwa tu. Na kuambiwa anaye siyo ndo kwamba mwisho wa kuchimba kisima. Wengi wao ndo wimbo wao kama zamani walivyokuwa wanasema ngoja nikakufikirie. Jipe moyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom