Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,438
- 100,721
Umenikera kwa kujumuisha wadada/wanawake wote!!
Nwy cha kufanya we ondoa mawasiliano naye tu basi.Tulia kwao nae kama hawezi kufanya hivyo atafute anaefanana nae wavunje viapo vyao pamoja!
Nami nimeliona hilo, si suala la wanawake wote,kwa wenye hizo tabia waache.....!!! Halafu ishu nyingine si ngumu hivyo kuzi- handle dearest,sijui kwanini watu wana complicate issues? mtu humtaki,unajibu sms zake au kupokea simu zake za nini????:confused2:
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe, so why coming back to me then??? Ugomvi wangu ni mtu anaporudia matapishi yake.....kuweni nakajimsimamo kidogo, hayaukiona vyaelea vimeumbwa labda ulikuwa huwezi kuumba by that time so ............
Samahanini ile ukisoma vizuri kuna sehemu nimetumia neno" kwa wale akina dada" nadhani ni sawa na neno "baadhi" pia katika hitimisho langu nimetaja tena kwa kuanza na akina "kaka na akina dada". Haya asanteni na mnisamehe kama mmenielewa ndivyo sivyo ila jamani huo ndio ukweli, usikimbilie kuoa/kuolewa kama hujamaliza baadhi ya mambo yako. Asanteni kwa kujaribu kunielewa.
Ni kweli kabisa ila mimi sina lugha ya matusi kumjibu mtu, huwa mara nyingi natumia hekima zaidi, na wala sijalalamika Dada, nimewaomba tu mjaribu kutulia, hilo tu ndio ombi langu, sina nyongeza dada.Kweli dearest...utashangaa watu wanavyolalamika ohhh haishi kupiga ..mara text nazo haziishi kuingia.Hii yote ni kwasababu wao wenyewe wanaendekeza kinachoendelea...kwanza ukimwambia mtu aache usumbufu wake na hauko interested na anachotaka huku ukimaanisha utaona kama atakusumbua tena.Sasa kama wewe unamchekea chekea na kujibu usianze kulalamika pembeni kwamba anakusumbia....mfikishie mhusika ujumbe ili aache!
Asante sana, nilitaka nikugongee thanks ila kitufe sijui kimeyeyukia wapi hukooo, so somo limeleweka teach others too.Huo ndo ukweli hakuna asiyejua kuwa kuna baadhi ya wasichana wenye tabia hizo......na sisi hatujajaribu kukuelewa.....TUMEKUELEWA,hakuna kitu kigumu ulichoongea kisichoeleweka....!!!
Hahahaaaa, imebidi nikumbuke wimbo wa Prof J..... they are more of material motivated than loving!!Yaani hiyo story kama ulivyoitoa, nami I encountered the same shit sometimes 2 years back. Kuna time ilibidi nimwambie yule dada namwambia mumewe ndio akatulia! And seriously nilikua tayari kumtafuta na kumwambia mumewe, maana najua anapofanya kazi. Viumbe wanawake acha waitwe wanawake.........
Kweli dearest...utashangaa watu wanavyolalamika ohhh haishi kupiga ..mara text nazo haziishi kuingia.Hii yote ni kwasababu wao wenyewe wanaendekeza kinachoendelea...kwanza ukimwambia mtu aache usumbufu wake na hauko interested na anachotaka huku ukimaanisha utaona kama atakusumbua tena.Sasa kama wewe unamchekea chekea na kujibu usianze kulalamika pembeni kwamba anakusumbia....mfikishie mhusika ujumbe ili aache!
Ni kweli kabisa ila mimi sina lugha ya matusi kumjibu mtu, huwa mara nyingi natumia hekima zaidi, na wala sijalalamika Dada, nimewaomba tu mjaribu kutulia, hilo tu ndio ombi langu, sina nyongeza dada.
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe, so why coming back to me then??? Ugomvi wangu ni mtu anaporudia matapishi yake.....kuweni nakajimsimamo kidogo, haya
Halafu dearest,huyu mwanamke kwa tabia hizi kuna uwezekano amekuwa na wanaume tofauti tofauti,kwanini specifically amsumbue Elli?
Nayeye kama mwanaume YAWEZEKANA ana udhaifu fulani au ni mwepesi sana, so kaona of all the men,this is the easiest dude to pursue....l.o.l
Manake wanaume wanaonaga wanawake cheap,ila ukweli ni kuwa hata sisi kuna wanaume tunawaona cheap,na wepesi kuwapata kwa shida ndogo ndogo!!! No offense,just thinking loud!!
Halafu dearest,huyu mwanamke kwa tabia hizi kuna uwezekano amekuwa na wanaume tofauti tofauti,kwanini specifically amsumbue Elli?
Nayeye kama mwanaume YAWEZEKANA ana udhaifu fulani au ni mwepesi sana, so kaona of all the men,this is the easiest dude to pursue....l.o.l
Manake wanaume wanaonaga wanawake cheap,ila ukweli ni kuwa hata sisi kuna wanaume tunawaona cheap,na wepesi kuwapata kwa shida ndogo ndogo!!! No offense,just thinking loud!!