Zile ziara za mikoani za Sekretarieti mpya ya CCM zimeishia wapi? Au ndio sasa wapo mkoa wa televisheni? Nadhani ililengwa hasa Arusha...
sasa wenzio ndio hilo wanaloogopa. Siku hizi kama hawafanyi mkutano wa ndani basi wanafanya kwenye mikusanyiko ya watu kama vile stend (mbeya) au sokoni (iringa). We hujalijua hilo?We mleta mada hivi ulishwahi kupata aibu ya kuzomewa wewe?
Zile ziara za mikoani za Sekretarieti mpya ya CCM zimeishia wapi? Au ndio sasa wapo mkoa wa televisheni? Nadhani ililengwa hasa Arusha...
Serikali ya wahuni wanaotegemea msaada wa wahuni wachache wanaohubili maafa kushinda uchaguzi, jambo linalopelekea
kushindwa kuwachukulia hatua wahuni kwa wanufaa ya wanzania wote na kuenzi kizazi cha watoto wetu, wajukuu wetu,
watukuu na vitukuu vya taifa la watanzania hapo baadaye wa imani zote. (vita ikiianza hakuna atakaesalimika sote tutakuwa matatani)
Kinana
Nape
Kikwete
Ponda
Farid
Ilunga
Hili kundi ndilo litakalo ipeleka Tanzania kuzimu, chini ya Chama cha mapinduzi.