Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,138
Zile ziara za mikoani za Sekretarieti mpya ya CCM zimeishia wapi? Au ndio sasa wapo mkoa wa televisheni? Nadhani ililengwa hasa Arusha...
Mungu na wezi? Mungu gani huyu?Wapo makini kupanga mbinu za kisayansi kuishinda M4D siyo kila hatua inatolewa hadharani, mengine yanaishia katika vikao vya ndani ya chama. Subiri 2013 uone KIMBUNGA CHA "NGUVU YA MUNGU"
Wapo makini kupanga mbinu za kisayansi kuishinda M4D siyo kila hatua inatolewa hadharani, mengine yanaishia katika vikao vya ndani ya chama. Subiri 2013 uone KIMBUNGA CHA "NGUVU YA MUNGU"
Zile ziara za mikoani za Sekretarieti mpya ya CCM zimeishia wapi? Au ndio sasa wapo mkoa wa televisheni? Nadhani ililengwa hasa Arusha...
wapo mbuga za wanyama wanawinda tembo.
Wapo makini kupanga mbinu za kisayansi kuishinda M4D siyo kila hatua inatolewa hadharani, mengine yanaishia katika vikao vya ndani ya chama. Subiri 2013 uone KIMBUNGA CHA "NGUVU YA MUNGU"
We mleta mada hivi ulishwahi kupata aibu ya kuzomewa wewe?