Au kama kusimamiwa itakuwa kazi,basi wafanye taratibu kama za library,kila anayeingia na mkoba auache counter mpaka atapomaliza starehe zake!!
Wakuu haya mambo yapo watu tunashuhudia kwenye Bar glass zinapungua kila mara mzigo mpya unaletwa wadada wanapiga deal kwenye mikoba yao.
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?
Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini
Mmmh labda kabati la mashosti wako ndo lina glass tofauti tofauti,huu sasa ni uongo yaani mpaka toothpick,Chrispin tutake radhi kwa hili,Hili nalipinga kwa nguvu zote unataka kutwambia kuwa kila anaebeba pochi kubwa anaondoka na glass za bar? QUOTE]
Siwataki radhi mpaka hapo mtakaponihakikishia mtaacha tabia hii mbaya.
Au kama kusimamiwa itakuwa kazi,basi wafanye taratibu kama za library,kila anayeingia na mkoba auache counter mpaka atapomaliza starehe zake!!
mi siku nyingi sana huwa najiuliza kwanini kina dada wanabeba haya mamikoba makuubwa utadhani labda wananyonyesha sasa wamebeba nepi za watoto humo, kumbe wana mambo yao, JF bana!!.
Mmhh unafanya kazi bar?naomba ufafanuzi katika hiyo niliyohighlight na red color,umejuaje kwamba mzigo mpaya umeletwa? kaka hebu leta ufafanzi wa kina hapa,sijakuelewa kabisa katika kauli hii.
mi siku nyingi sana huwa najiuliza kwanini kina dada wanabeba haya mamikoba makuubwa utadhani labda wananyonyesha sasa wamebeba nepi za watoto humo, kumbe wana mambo yao, JF bana!!.
Mmmh labda kabati la mashosti wako ndo lina glass tofauti tofauti,huu sasa ni uongo yaani mpaka toothpick,Chrispin tutake radhi kwa hili,Hili nalipinga kwa nguvu zote unataka kutwambia kuwa kila anaebeba pochi kubwa anaondoka na glass za bar? QUOTE]
Siwataki radhi mpaka hapo mtakaponihakikishia mtaacha tabia hii mbaya.
Wenye tabia mbaya ni hao mashosti wenu mnaoenda nao bar na mnawaona kabisa wakiweka glass kwenye mipochi yao na hamwuwakatazi, mnafurahia ee kuona glass za aina tofauti nyumbani kwa mashosti wenu eee nawapeni pole kwa kuwa na mashosti wakwapua glass za watu bar
sasa naona kunaumuhimu wa kila bar maid kumsimamia mteja wake kama wafanyavyo wauza kahawa!!
Mama mm sifanyi kazi Bar ila ni mteja na mnywaji mzuri tu wa kilaji.
ni tabia mbaya wanaoiba glass bila kupewa. wengine wanakuwa na visingizio eti souvenir ya bar waikumbuke si glass tuu hata vijiko visu uma na kwenye mahoteli makubwa mataulo yanaibiwa sana
Samaki akioza mmoja...Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini
Sasa ulijuaje kuwa mzigo mpya wa glass umeingia na zimepungua? au wewe ni stock controller?
ndio maana kwenye magesti hausi ya uswazi mashuka na taulo zinagongwa nembo!, kandambili wanachanganya rangi saizi sawa lakini moja kijani nyingine njano!, hahaaaaa, wenye bar nao wabuni mbinu zaidi.