Hii nimeiona mara kibao nikiwa Bar sasa naona inajengeka hii tabia kume kuwa na tabia mbaya kwa kina dada wanao beba mikoba a.k.a kipima Joto pindi wamalizapo kilaji basi anaweka na bilauli kwenye mkoba nakuondoka nayo kusiko julikana mara ya kwanza nilijua pengine kaja nazo baada ya kuondoka nikauliza kwa muhudumu nikaambiwa tumesha lizwa.
Sasa dada Bia/wine umenunuliwa unaiba glass ya nini jamani mbona mnatutia aibu wengine mpaka chupa za bia wanabeba.
Wakuu Masanilo,Chrispin aangalieni vijiweni mnakotembelea ukiona sister duuu kaja na mkoba mkubwa mtilie shaka.
duuuuh, ebanaeee, mi nlikua sijui ati kumbe ndo siri ya yale mamikoba makuubwa ya kina dada?, asee mkuu habari hii ndo naipata kwako.
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?
Jamani mtatufanya tusiwe tuna beba vijibegi vyetu kwa raha khaaa! huyo ni mrembo wa uswazi bwana sio wote tuko hivyo inabidi atuambie alikuwa bar gani ukutwe alikuwa uswahilini akakutana na vituko uswahilini
Wakuu haya mambo yapo watu tunashuhudia kwenye Bar glass zinapungua kila mara mzigo mpya unaletwa wadada wanapiga deal kwenye mikoba yao.
Hebu Fidel tuambie hayo ulioyaona ulikuwa bar ipi au taja eneo ukute ulikuwa uswazi mazese kwa mfuga mbwa kule ukadhani na BP wanayafanya hayo hayo ama Rose garden
Usiniambie unakunywaga Rose Garden. Hiyo BP sijaikamata vema. Hebu nielekeza nikatabaruku.
Mpwa hiyo ni kweli kabisa. Umesahau na umma, vijiko na tule tuvijiti twa kuchokonoa meno. Ukitaka kujua, tembelea makabati ya vyombo ya mashosti. Utakuta glasi tofauti tofauti kibao. Ngoja waje kina Carmel, FL1, Msindima, MJ1, Lily Flower, JS, VC ZD na wengineo uone watakavyopinga. Si unajua ukweli unavyouma?
BP ni Break Point
chrispin una uhakika na uyasemayo?nakata rufaa
Sasa naona kunaumuhimu wa kila bar maid kumsimamia mteja wake kama wafanyavyo wauza kahawa!!