Mradi haiishi basi ndio ikachovye kila palipo wazi? Hah!!!!
Mwanaume yoyote anaeshindwa kujijua na kujua majukumu yake kwa ndoa yake ni pamoja na kujiheshimu hafai kuitwa mume
Kujiheshimu ni pamoja na kutokufungua zipu hovyo kisa eti kuna mtu anakutega
Hivi nyie wanawake hamuangalii hata mtu wa kuwaoa?
Kwani ni sabuni ndo useme itaisha?
Ha ha ha haaaaaa umenifurahisha sana Eiyer! Sisi tunachaguliwa hatuchagui! Kama hapa nikikuchagua wewe utakubali? Unaonyesha unajitambua sana!
mwanzo si mnaact kama wastaarabu....
Lazima ushangae tu.
Kufakamia fani si mchezo.
Diligence is key.
Dignity not only to patients, but even the cadavers used for research and teaching.
Remember?
Or did you sleep through class?
Wakati wa lunch time au ile mida ya kutoka kazini huwa kuna kashikashi pale...
Ila sisi wengine kaka huwa hatuhusudu sana hizo mambo, yanaingia upande huu yanatokea upande wa pili...
Room to readWana JF,,sitaeleza kwa undani lakini hii ofisi hapa mjini Dar ina wadada wazuri na hatari sana kwa wanandoa!!
Akinadada ambao hamjaolewa maofisini hebu mtuonee huruma sisi waume za watu,,yaani pamoja na kuvaa pete hadharani, kumtaja na kumsifia mke wangu mbele zenu bado tu mnatutaka na kutuchokoza,,jamani muwaonee huruma wanawake wenzenu,,Yaani mmezidi sana kujishebedua kwa waume za watu ..balaa tukisafiri mikoniani kikazi,,,utatamani kulala hotel ya mbali,,,manake hachelewi kuja room kwako kavaa kimitego na kupiga story mpaka saa sita usiku,siku hiyo asipokuja room atataka mchati kwenye simu na kutumiana picha za ajabu ajabu.Kuna jamaa yangu hapa ofisini alimwazima mdada laki moja,,na alikuwa arudishiwe mwisho wa mwezi,,,miezi miwili sasa imepita,,badala ya kurudisha hela ya mme wa mtu anabaki kuleta zawadi za chocolate tu mezani kwa jamaa,,,plz wanadada mwanaume anapo vaa pete bila kificho na kuweka wazi kuwa anampenda mke wake that is a sign that u should stay away,,no sexual relationship .mtu unakuwa friendly lkn wadada wanatafisiri kuwa unataka sexual relationship,,saa zingine eti anasema wewe huna jeuri ya kunikataa mimi,,unanijunga tu.Nina jamaa yangu mwingine ye ndo kakubali yaishe tu,,,,,anakichapa kidada kimoja kimeajiriwa juzijuzi mpaka utadhani mke wake,,lunch pamoja,,usafiri mmoja,,kikazi wanasafiri wote.Yaani ni aibu na inakera sana,,,,,Plz mtuonee huruma akina dada, mioyo yetu sio ya chuma jamani.
Nimeamua kuwasemea wanaume wenzangu ambao tunapata shida hii.
View attachment 124041
Mwanaume yoyote anaeshindwa kujijua na kujua majukumu yake kwa ndoa yake ni pamoja na kujiheshimu hafai kuitwa mume
Kujiheshimu ni pamoja na kutokufungua zipu hovyo kisa eti kuna mtu anakutega
Hivi nyie wanawake hamuangalii hata mtu wa kuwaoa?
Wacha weeeeeeee!
Kimbia zinaa; jikinge kwa damu ya Yesu...kuna binadamu ni watume wa shetani...
Na wamama mlio kwenye ndoa msali na kuwaombea waume zenu...alichoandika huyu watu wanambeza lakini ndio ukweli ulivyo kwenye ofisi nyingi; hasa zenye machanganyiko wa watu wenye vipato tofauti...
kuna wanaotaka wanaume for the sake of it (wamejikatia tamaa ya kuwa na wao binafsi) na kuna wanaotaka meal allowances...mishahara haitoshi.
Hahaa mpo wa chachee pete ni urembo tu tu hata mie navaa!! Mume mume wa mtu hata kuku naye ana mume wake jogooo
jamaa anamalalamiko hapa, kuwa wanadada warembo wanamsumbua huko ofisini wakati yeye ameoa.
Kaka hilo sio jaribu hata...
Tuseme nini sisi madaktari tunaoona nyuchi za wamama za kila aina....??? Tena si kuona tu bali tunazishikashika na kuzipekua kama tunafukua magimbi vile...
Sasa wewe unayeishia kuona juu ya nguo tu...ukipewa hii kazi si tutakupoteza