Akina dada piteni huku

Akina dada piteni huku

ney1

Member
Joined
Dec 1, 2014
Posts
25
Reaction score
6
Wanawake wenzangu naomba tumshauri huyu binti,

Ni mdada wa miaka 29 sasa alizaa na mwanaume walikua na ahadi ya kufunga mambo ya liingiliana lakini process zote tayari kasheshe inakuja wakati binti anachumbiwa jamaa alimwambia anamtoto wa 7years bint akakubali kumbe kuna mwanamke tena aanamimba ya jamaa.

Binti kapata ujauzito kuna wanawake wengine wawil wa jamaa wanaujauzito, binti kajifungua hajui kama wenzie wanawatoto jumla watoto 4 kwa wanawake wanne tofauti wa kwanza 7 years, wa pili 1year wa tatu miez 9 na wanne ambae ndio wa binti sasa ni miez 7 kaja kujua juzi.

Baada ya mmoja kumtafuta binti Fb na kumwambia ikiwa pamoja na kumtumia picha za watoto copy kabisa na jamaa.... kamuuliza jamaa kakubali kaomba msamaha, anataka amchukue binti wakaishi pamoja yani amalizie mahari kwani alitoa nusu, ila ndoa badae binti hajui cha kufanya kwani anataka kumuacha jamaa anawaza kuwa single mother na umri umeenda 29 akifikiria hivyo anachanganyikiwa.

Tujaribu kumshauri huyu mtu
 
ney1

Kitabu Kitakatifu Cha Biblia Kinasema " Eeee Nendeni Mkaijaze Dunia ".
 
Last edited by a moderator:
Wahuni sio watu, atapata amani kweli na huyo mwanaume? Kitendo cha kuwa na watoto hao wote kwa mama tofauti ni ishara kwamba hajui condom na ni moja ya dalili atamletea maradhi tu afe mapema ashindwe kulea hata huyo mwanae. Kama Pesandogo nauelewa huo ugumu, kidogo niwe victim wa hayo na mie . Kinachosikitisha wanaume ni ngumu kubadilika mpaka apate kitu atakachomjutisha mfano maradhi mabaya n.k.

Ajipe nguvu akae pembeni aangalie mchezo unaendaje kwanza maana hajui wenzie waliozaa na huyo bwana wana nin hata awaache hao ili awe na yeye. Na watu wa hivyo anaweza kutoa ahadi ya ndoa kwa wote so hata akiishi na huyu dada yetu wale ataendelea nao utasikia wamezaa tena. Bila ndoa halali yaani bomani au kanisani yenye ushahidi asikubali kuhamia atajifunga mzigo mzito na wale wanawake hawatamuacha awe na aman

na kingine kwa jamaa inaweza kuwa ndo janja yake kumhamisha bibie maana kuna mtu mmoja namfahamu anadai yuko single anaishi na mwanamke na wamezaa watoto wa3 kwasababu hakukua na ndoa yenye mashahidi wengi anaendelea kutoa ahadi na kudai muda wa kuoa bado anaweka mambo sawa teh na kamtolea mahali binti mwingine mkoani akienda kama kawa mchumba na ana watoto wa mama wengi kama hivyo nje ya huyo waliojihamishia nyumba moja.
 
umeongea point sana mkuu thanx
 
awww sorry nimepotea njia kumbe ni ke peke ake ngoja nilale mbeeele
 
Fupa lililomshinda fisi ye ataliweza wapi? wameshindwa wanawake kama yeye wa4 yeye ana kipi kipya? Huyo jamaa ni kiborodinda hawezi kuwa mume hata kwa bahati baya!.Hahitaji masters au phd kujua jamaa hafai amuache! kuhusu kuwaza ataishije as a single mother ye sio kwa kwanza hapa dunian women are out there surviving unless kama alikuwa goal kipa wa kuletewa kuanzia chumvi. Halafu age is never a barrier!.
 
Ningemshauri ila umefanya ubaguzi kuwaita akina dada. Kwa heri
 
ASIKUBALIIII
ataletewa watoto wengine ndan ya ndoa .hyo bwana ni malaya
 
Kama mie huyo nilo mkuta wa Miaka 7 sawa lakini hilo balaa jengine ni lake , asikubali hajui kuna jengine lipi linamfata, alee mwanawe basi huyo Si mume ni gumegume ..
 
Sijaona tatizo hapo...
Si anaangalia umri anaogopa kuitwa Nungayembe? Aolewe tu naye aringishie pete.
 
hehee..anataka kufurahisha jamii... age my fut.. 29yrs still young atulie alee mtoto wake atapata mume wa kufanana nae, huyo mwanaume mpuuzi tuu hana lolote just a player.. kama ni tabia yake hiyo ni mpaka kufa unless amrudie Mungu.
 
Wanawake wenzangu naomba tumshauri huyu binti,

Ni mdada wa miaka 29 sasa alizaa na mwanaume walikua na ahadi ya kufunga mambo ya liingiliana lakini process zote tayari kasheshe inakuja wakati binti anachumbiwa jamaa alimwambia anamtoto wa 7years bint akakubali kumbe kuna mwanamke tena aanamimba ya jamaa.

Binti kapata ujauzito kuna wanawake wengine wawil wa jamaa wanaujauzito, binti kajifungua hajui kama wenzie wanawatoto jumla watoto 4 kwa wanawake wanne tofauti wa kwanza 7 years, wa pili 1year wa tatu miez 9 na wanne ambae ndio wa binti sasa ni miez 7 kaja kujua juzi.

Baada ya mmoja kumtafuta binti Fb na kumwambia ikiwa pamoja na kumtumia picha za watoto copy kabisa na jamaa.... kamuuliza jamaa kakubali kaomba msamaha, anataka amchukue binti wakaishi pamoja yani amalizie mahari kwani alitoa nusu, ila ndoa badae binti hajui cha kufanya kwani anataka kumuacha jamaa anawaza kuwa single mother na umri umeenda 29 akifikiria hivyo anachanganyikiwa.

Tujaribu kumshauri huyu mtu
Utamshauri nini wakati yeye kakubali kuzini mpaka kapata mimba kabla ya ndoa,wote wazinifu wamekutana
 
oh yes..............................
yes.jpg
 
Wanawake wenzangu naomba tumshauri huyu binti,

Ni mdada wa miaka 29 sasa alizaa na mwanaume walikua na ahadi ya kufunga mambo ya liingiliana lakini process zote tayari kasheshe inakuja wakati binti anachumbiwa jamaa alimwambia anamtoto wa 7years bint akakubali kumbe kuna mwanamke tena aanamimba ya jamaa.

Binti kapata ujauzito kuna wanawake wengine wawil wa jamaa wanaujauzito, binti kajifungua hajui kama wenzie wanawatoto jumla watoto 4 kwa wanawake wanne tofauti wa kwanza 7 years, wa pili 1year wa tatu miez 9 na wanne ambae ndio wa binti sasa ni miez 7 kaja kujua juzi.

Baada ya mmoja kumtafuta binti Fb na kumwambia ikiwa pamoja na kumtumia picha za watoto copy kabisa na jamaa.... kamuuliza jamaa kakubali kaomba msamaha, anataka amchukue binti wakaishi pamoja yani amalizie mahari kwani alitoa nusu, ila ndoa badae binti hajui cha kufanya kwani anataka kumuacha jamaa anawaza kuwa single mother na umri umeenda 29 akifikiria hivyo anachanganyikiwa.

Tujaribu kumshauri huyu mtu

Huyo mwanaume hamfai hata kidogo. Tusilazimishe ndoa. Akae alee mwanae basi.
 
Nitamshangaa sana bidada anasubiri ushauri badala yakuachana na huyo chizi fastaa, loh!!!!! wanaume wanyakati hizi sijui wakoje, kupenda kujiona marijali na mahili wakati nguvu yenyewe moja. wanaume wengine wanalaaana sio bure.
 
Back
Top Bottom