Ha ha ha ha. Ila kwa sababu kwenye chama wapo watakao jiunga na ambao hawata jiunga.sasa waleeee watakao jiunga wamejpeleka danger zone wenyeweeee
ebwana kweli....mie ndio maana demu akitaka pesa yangu sharti marinda yafumuliwe
sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nyie ndio mnaokufa masikini
naona raha sana kuhonga
naona raha sana kuhonga
naona raha sana kuhonga
RABISHHHHHHHH! Hivi wewe usione tunawachuna kwa speed DID YOU EVER TAKE TIME TO PERUZ HISTORY OF A WOMAN.?
Hata tuwachune kiasi gani haitoshi kulipia damage tuliofanyiwa wanawake century n century. Fikiria wanawake hawahesabiwi zamani ila vitoto vya kiume vidogo ndo vinahesabiwa kama watu!? Mxiuuuuu! Mwanamke hana kauli, hana maamuzi hata aolewe na nani. Mwanamke haendi shule, hafanyi chochote anashinda jikoni tu!
DO YOU THINK WE WILL GIVE UP OUR LONG FOUGHT WITH BLOOD AND SWEAT CHANCE TO BREATH.? Hell no! IFIKE MAHALI WANAUME MUONE YATOSHA MABABU ZENU WALIFAIDI KWA NIABA ZENU!
Hivi inakuwaje mwanamke anasema anakupenda alafu anakupa; Singlendi akitegemea umpe Samsung galaxy, Tai akitegemea Wigi la kibrazil, Vifungo vya
shati akitegemea I PAD, Key holder akitegemea kokoko anakuja mikono mitupu akitegemea umpeleke Mlimani city kula kuku.
Alafu mnaongelea usawa sasa chama cha maboyfriend Tanzania (TBA -Tanzania Boyfriends Association) tumeamua... Singlendi kwa Sidilia, Boxer kwa bikin,, ukileta maua unapewa majani ya mwembe (kwanza vyote ni mazao ya mimea).
Tai kwa kamba kwa ajili ya kufungia vinywele vyake vya asili. Akija mikono mitupu then mnakaa mezani kupiga story (kula kwao)
yaani we hata kwenye uandishi tu unakua bahili ngumu unaandika "ngm" huko kwenye kuhonga utahonga kweli.
Hahahaaa mzabzab hujaachaga tu vituko vyako wewee!!!
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!!!!!!!!
Endeleeeni kufumua marinda mwisho wake utajulikana tu...
Umenichekesha teh ... Teh.... Hata wanawake wanawapenda marugumya?
ndio ishu ya mujiniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Nakuogopaaaaaaaaaa