Hahaa wanawake wanawapenda wanaume wanaondesha magari,,haijalishi ni gari gani au ni lake au la kampuni..!
yani we acha tu ndo ugonjwa wetu, ila sio kweli kwamba haijalishi tunajali sana na tunataka liwe lako
Pesa tu yatosha, vingine ni kadhalika tu...
Hata iwe ambulance bora gariHahaa wanawake wanawapenda wanaume wanaondesha magari,,haijalishi ni gari gani au ni lake au la kampuni..!
Hahaa wanawake wanawapenda wanaume wanaondesha magari,,haijalishi ni gari gani au ni lake au la kampuni..!
Hahaa wanawake wanawapenda wanaume wanaondesha magari,,haijalishi ni gari gani au ni lake au la kampuni..!
Ata kama limeandika ambulance utawala tu.
Ni ajabu kwa kweli... ukute mwanaume anaendesha gari imeandikwa SERENGETI BREWERIES mwili mzima na mwanamke ana VOGUE.... AKYANANI TENA ANAKWENDA NA MAJI
Hata iwe ambulance bora gari
Ni ajabu kwa kweli... ukute mwanaume anaendesha gari imeandikwa SERENGETI BREWERIES mwili mzima na mwanamke ana VOGUE.... AKYANANI TENA ANAKWENDA NA MAJI
Habari za mwanzo wa wiki wana MMU
Akina Dada naombeni mnusaidie wakati wanaume wanataka kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na nyie ni vigezo gani hasa huwa mnazingatia ili kuwakubalia au kuwakatalia wanaume?
Haijalishi ulimfahamu kabla au ndiyo Mara ya kwanza kukutana naye.
Karibuni tufahamishane.
Mmmh acha nipite kimyakimya...