Shida na raha
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 3,773
- 3,474
Najisika kuwa na nguvu ya kuwapa dada zangu ukweli ili uweze kuwavusha inawezekana ...umeomba sana lakini nguvu ya kufanya maamuzi haipo ndani yako pasipo... Kuwa na nguvu ya kuamua..
Umepata Bwana, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Akagoma Sana mwishowe akaona isiwe Kesi Akakupeleka
Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu Siku ya Kwanza Umeshinda Unachati, Siku ya Pili Umeshinda Unachati Tena ndio unajisifia kwenye groups upo ukweni Kumbe Wao Wanakutazama Tu na kukupimia Wala Hawakwambii Kitu.
Siku ya Tatu Wanakwambia Leo Ni Zamu Yako Kupika, Unaingia Jikoni unaona Kila Kitu Kigeni
Vya Huku Unaweka Kule, Vya kule Unaweka Huku (Yaani Hujui Kupika Chochote)
Sufuria Unashika Kama Umeshika Power Bank, Unapika Na Lipstick, Mdomo Mwekunduuu Utafikiri Mtoto wa Jini Katoka Kufundishwa Kunyonya Damu tena huku Umevaa Saa, Umevaa Culture Zimejaa Nusu Ya Mkono, Umevaa Mini Skirt Kama Wafanyakazi Wa shirika la Emirates
Msosi wa Wakwe Huwezi Kupika.... , Ukiambiwa Hufai Kuolewa Unavuta Mdomo Utafikiri Umenyimwa USB Cable Ubust Smartphone Yako
Unaanza Kulalamika Wakwe Hawakupendi, Unalalamika Weee, Unashindwa Kuelewa Kuwa Wewe Ndio Tatizo.....unaanza kuweka dp whatsap za kuwananga mawifi...
Usitake Kuolewa Ukidhani Mumeo Atakula Chips na Wewe Utakuwa Utakula Pizza Kila Siku, Jifunze Hata Kuchemsha Chai Basi
Jifunze hata kupasha mihogo
Au Unadhani Google Wataleta App ambayo Unaweka USB Kwenye Simu yako alafu unaielekezea kwenye sahani Inaproduce msosi.
JIPANGE DADA Usidhani Ndoa Ni Kama Kupiga selfie,.. uwe na usiku wenye maamuzi ukinuna pasuka kama chupa.