Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,254
Akina dada kwa KUPENDA VYA KUPEWA mh! ckia HII
Jamaa: Sweetie otea nimekununulia zawadi gani ya birthday?
Demu: Oh jamani sweetie umeninunulia nini?
Jamaa: Unakumbuka ile RAV4 uliionaga ukaipenda sana rangi yake?
Demu: Woooow honey! oh my God! Umeninunulia ile??! I luv u so much!!
Jamaa: Hapana nimekununulia mswaki una rangi kama ile.
Dem: Lione ka senge.