Akina dada mtanisamehe kwa hili

Akina dada mtanisamehe kwa hili

Kuku karejea kwenye banda lake, kinachokuuma ni nini sasa mkuu?

Mbina sisi wanaume huwa tunatongoza/tamani zaidi ya wapenzi tulionao, iweje kwa mdada uone tofauti!!
 
Kwanini “akurahum” [emoji23] wakati hajajiweka wazi anataka nini kutoka kwako?
 
Vijana mjitahidi basi kupiga izo mbunywe. Ikikaa kwenye ramani we kula ata kama utaonekana shughuli huwezi kikubwa kojoa kwanza. Tuangalie yanayofata

Unaumia sababu hujakula iyo mayai laini ya hapo kati kwa mwanamke
Kuna baadhi ya vijana wa jinsia ya kiume wanasikitisha sana aisee.
 
Sasa Kwan inakuuma eeeh???
Bado najaribu kuwatafakari.....

Sijui mkoje....

Niliombwa namba na mdada mmoja kwenye semina, alionekana kuwa yuko interested sana na mimi!! Haikuhitaji tutorial ya kujua kuwa alikuwa ananitongoza katika mazungumzo yetu!!
Maswali kama "uko na girlfriend" yalihusika!!

Siku iliyofuata alinitafuta tukawasiliana vizuri tu!! Kama vile mahusiano ndo yameanza!! Zikapita siku tatu bila kumtafuta na yeye aka mute, then akanitumia bonge la normal text kurahum.

Leo hii anaweka status za yeye na boyfriend wake, anaandika "heri yao wanaojua kujali"

Ndo nimemaliza kuka block sasa hivi!!!
Hivi nyie viumbe mnakwama wapi???
 
Back
Top Bottom