honey bee
Senior Member
- Nov 23, 2021
- 139
- 236
Bado najaribu kuwatafakari.....
Sijui mkoje....
Niliombwa namba na mdada mmoja kwenye semina, alionekana kuwa yuko interested sana na mimi!! Haikuhitaji tutorial ya kujua kuwa alikuwa ananitongoza katika mazungumzo yetu!!
Maswali kama "uko na girlfriend" yalihusika!!
Siku iliyofuata alinitafuta tukawasiliana vizuri tu!! Kama vile mahusiano ndo yameanza!! Zikapita siku tatu bila kumtafuta na yeye aka mute, then akanitumia bonge la normal text kurahum.
Leo hii anaweka status za yeye na boyfriend wake, anaandika "heri yao wanaojua kujali"
Ndo nimemaliza kuka block sasa hivi!!!
Hivi nyie viumbe mnakwama wapi???