haahahha...kwikwikwikwi.......jamanieeee, mbavu zangu, huu uzi nauprint nikaubandike geto...dah. mgirik we acha , mimi nilimbiwa niende jim kwanza eti angalau niwe na tumisuli kidogo. Dah Mateso haya
...Sio kila kitu lazma kifanyiwe research ili kizungumzwe katika jamii...! and this is "general thinking" sidhani kama kina ubaya...! at 30 bila mchumba au mume...wengi wapo so stressed. Tatizo wengi wanaona peak ya yote ni ndoa, asipoifikia anaona bado hajafanikiwa.it's leyman way of thinking , no research have been done on it.
mmezidi kuwasema dada zetu jaman! yani kila leo ni mada kuhusu wadada wenye 30 halafu hawajaolewa! sio vizuri jaman huwezi kujua mtu kapitia changamoto gani had hajaolewa, na iwatu wengne wameolewa lakini maisha yao ni magumu maelezo hakuna wakati kuna wengine hawajaolewa lakini wanaendesha maisha yao vizuri! kuolewa sio kwamba ndio ndoto zako zimetimia au zitatimia.
...Sio kila kitu lazma kifanyiwe research ili kizungumzwe katika jamii...! and this is "general thinking" sidhani kama kina ubaya...! at 30 bila mchumba au mume...wengi wapo so stressed. Tatizo wengi wanaona peak ya yote ni ndoa, asipoifikia anaona bado hajafanikiwa.
inategemea na sababu zilizomfanya akafika umri huo bila kuolewa. Shule mfano na mambo mengnemengne. Wako wanaume pia ambao wanataman waoe kabla ya kuingia 30s lakn wanashndwa kwa sababu mbalimbali. Hata akiwa 30s anaweza still kuwa na characters za mke bora tena wengne kwa umri huo ndo wanajitambua zaidi kuliko hao 20+. Japo wapo wengne wanafka umri huo kwa sababu ya maringomaringo yao na mi huwa nawashangaa pia wanaofika umri huu kwa kuwa too selectve na mambo mengne yasiyo ya lazma
umeongea point sana... kuna watu waliolewa kwa kukimbizana na umri sasa hivi wanajuta na ndoa zao. cha msingi nikufanya kitu roho inapenda
...Sio kila kitu lazma kifanyiwe research ili kizungumzwe katika jamii...! and this is "general thinking" sidhani kama kina ubaya...! at 30 bila mchumba au mume...wengi wapo so stressed. Tatizo wengi wanaona peak ya yote ni ndoa, asipoifikia anaona bado hajafanikiwa.
Huu uzi kuna member flani piga ua ni lazma aje apingane na mwanzisha mada.
ngoja nimsubiri aje.