Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,262
[/COLOR]usawa huu utakula mzigo wa nani alafu ule kona? watu wenye washakuwa wajanja, jaribu uone utakavyokugandwa ka gundi ndo utashika adabu yako
tuna chakuringia and ur dying for it!!
Da,Lady N umenikumbusha wimbo wa "Akanana kaile kona" au hii Avatar umeiweka special kwa ajili ya hii thread?tuna chakuringia and ur dying for it!!
me binti wa kumtongoza na kunikubali bila usumbufu hata haina raha afu namshusha thamani..but bint umhangaikiee..akuzungusheee hata siku anakukubaliSasa usiporingiwa hata kidogo ina raha gani?
Hii kitu ni process bandugu, ina vipengele viiingi tu na kimojawapo ndo hicho. Yaani wewe unataka uambiwe hapo hapo, wala hata hainogi. Utasimulia nini sasa baada ya miaka mingi namna ilivyokuwa ngumu kumpata?
Mi asiporinga wala staki!! Kuringa muhimu inaleta raaaa!
tuna chakuringia and ur dying for it!!