😛anda:😛anda:😛anda:Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????😛anda:😛anda:😛anda:
Tukiwa wagumu =Tunaringa
Tukiwa warahisi=Malaya
please, give us a brek...
afrodenzi, Ni afadhari mtu ukaambiwa unaringa kuliko watu wakasema yule dada hajui kukataa.. Kuna kauli tunazipata kwa watu zinauzi sana, ni za kudhalilishwa.. Ringeni Bwana nyinyi ni wazuri na Mungu aliwaumba hivyo!
😛anda:😛anda:😛anda:Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????😛anda:😛anda:😛anda:
afrodenzi, Ni afadhari mtu ukaambiwa unaringa kuliko watu wakasema yule dada hajui kukataa.. Kuna kauli tunazipata kwa watu zinauzi sana, ni za kudhalilishwa.. Ringeni Bwana nyinyi ni wazuri na Mungu aliwaumba hivyo!
Asaidiwe tu huyu member... Nafikiri hata salam hakuanza nayo...kama vile ......Mwanamke kuringa babu eehhh.
Halafu ukiandika hebu jaribu kurudia kusoma maana mie nimejitahidi tu kuelewa kinguvunguvu maana maneno yamekatika mengine hayaeleweki kabisa hapo chini nimeweka red.
Jamani, kuna madada mmjo nilimdondokea sana, nikatia timu watu wangu, cha ajabu akadai kusumbus sana mara ninawangu, mara sipendelei mambo hayo, mara nipo busy sina muda, mara sijui nini n.k n.k. Nilipo amua kuacha sasa analaumu eti nilikuwa nampima au? Mbona kimya changu kimezidi? Sasa nauliza kwanini alikuwa nanata kwa maneno kibao, usumbufu n.k wakati anapenda????????????????
ha hahaaaaa
Elia hebu soma hapa chini
The Following 3 Users Say Thank You to Elia For This Useful Post:
Dena hii ndio lugha ya vijana wetu wa enzi za JK na nikitumia utabiri wangu atakuwa form 2,wa form 4 hao tayari wataalam lol!Mwanamke kuringa babu eehhh.