Bro ume-date facebook ama? Kwa sababu wanyange wa FB hizi ndio zao. Sina uhakika na JF
Hapo nakuelewa ndugu. Na hii HESLB inavyowasumbua kuwakopesha boom lazima mizinga izidiwatoto wa vyuo hao
Hapo nakuelewa ndugu. Na hii HESLB inavyowasumbua kuwakopesha boom lazima mizinga izidi
mi mbona nakula tu bure..full mtoto kuja maghettoni tuuuu......na kam ni gesti..namwambia njoo na shng flan...nusu ya bill hiyoo...life ni simple sana..bhana...
acha roho dhaifu..zinapotoka mim cwazi coz huo ndo mwanzo wa streesss...aiseeeeehizo hela anazokuhudumia wewe lazma zinatoka kwa lipapaa!!!!
Yani laki moja ndo inakutoa povu hivo!!!
kisu hakina makali nyama utakulaje....
Papuchi ya bure hakunaaaaaa.......
Huwezi achia wenzio
acha roho dhaifu..zinapotoka mim cwazi coz huo ndo mwanzo wa streesss...aiseeeee
Na nyie mmezidi kuendekeza njaa! Mtu akionesha Interest kidogo mnarundikia matatizo yote! Mara ooh! Utasikia mwisho wa mwezi huu siwezi kujiaunga na BBM kisa sijalipia.. Njaa tupu
Ni kwa wewe uliyempata, na kwa taarifa yako angekuwa hakupendi asingefanya hayo, na kwa upande mwingine anahongwa na mwanaume mwenzio ndipo anakuletea wewe, haiwezekani ukawa unakula bureeeeeeeeee bila hata malipo ya kipande cha sabuni ya kuoshea papuchi yake na doudorant ya kwapa lake , kwa hapa mujini hiyo ni NOOOOO! Fuatilia utajaniambia kama nikwambiacho ni kweli.
itakua anatoa kwa wazazi maana kwakweli yuko busy na mimi..kiroho safi...mpk naonaga kero...kwa siku calls kama 20 hivi...si mchezo amini hivyo...kama kuna raia ana bang nae hapa..basi huyu manzi ni mkali...sana...dahhhkama ulikuwa hujui ndo ujue.....
wa unahudumiwa afu hujiulizi hela zinatoka wapi!unachekesha......
OIL CHAFU imeonekana oil safi... teh teh tehInatokea unamtokea binti umempenda sana. Baada tuu ya kufahamiana na kupeana namba za simu, na
Kabla ya kupanga appointment ya kukutana.
Jambo la kwanza utakuta msg chache za kimahaba kwa saaaana.
Alafu zinafuata msg za kupiga mzinga. "ooh, baby alafu nina tatizo hapa mama hajanitumia hela yaani baby naomba nitumie laki moja basi, alafu napanga kuja huko soon nikupe raha utamu, ilv u baby, mwaaaaaaaa!!!
Nabaki na maswali lukuki, kwanza mtu hata hujui kwao, hujui maisha yake, mmekutana tuu mkafahamiana (lets say kwenye basi). Hivi inakuja akilini kweli mtu kurusha laki nzima wakati possibility ya kuonana tena ni 0.5%
Tumieni akili zenu vizuri
nisitangaze njaa ntakula mchanga we vipi?
mawazo mabaya mdo hayo...kama anapewa kwao je...enh...kuna wanawake wengine ni independent...bhana usiwe una mawazo ya ugoli kipa..kila kitu uletewe..bhana alaaaah...ila possibility kubwa atakua ananikubali..kiaina...maaana wa mizinga nina experince nao..na mim ni bahili kiaina lakin mtoto yko fresh tu na mie hamna udasi..yan...ova...so manzi akipenda anafanya lilote lile...heheheheheheheheeeeeeeeehhhhhNi kwa wewe uliyempata, na kwa taarifa yako angekuwa hakupendi asingefanya hayo, na kwa upande mwingine anahongwa na mwanaume mwenzio ndipo anakuletea wewe, haiwezekani ukawa unakula bureeeeeeeeee bila hata malipo ya kipande cha sabuni ya kuoshea papuchi yake na doudorant ya kwapa lake , kwa hapa mujini hiyo ni NOOOOO! Fuatilia utajaniambia kama nikwambiacho ni kweli.
itakua anatoa kwa wazazi maana kwakweli yuko busy na mimi..kiroho safi...mpk naonaga kero...kwa siku calls kama 20 hivi...si mchezo amini hivyo...kama kuna raia ana bang nae hapa..basi huyu manzi ni mkali...sana...dahhh
aangaliwe bas anaetangaziwa njaaa bas ucjembakizia boxer tuuu kwa kuwekavitu security
naona wewe nawe umbishi...ndo hivyo manzi anamkubali jombaaa...hapa so fresssssshhhhhhyyyyy...hachunwi mtu 2013...hapaa...alaaaaaaahhhhEndelea kujidanganya hivo hivo........
papaa linakamua, linampa mihela anaileta kwako!!!!!unajisifu wahudumiwa
eti anapewa na wazazi he he he ncheke mie..........