Abraham Lincolnn
JF-Expert Member
- Apr 12, 2018
- 3,146
- 6,009
🤣🤣🤣 huu ni sawa na utafiti kuwa waliodisco chuo wanamafanikio zaidi kisa wanaonekana kina Bill Gates wakati huo kuna mamilioni wanapigika mtaani, Acha ujinga acha hizo sample maarufu kuna maelfu ya watoto wameathirika na wanateseka kutokana na malezi ya mzazi mmoja
Wako wengi sana