Akiliii au matopee!!!!!???

Pale juu ni wapi?

Size 15mm ndo itakayofaa kwa baiskeli. Na hiyo sina.

Umechanganya kidogo
mm15 ya pikipiki tena zile honda 110 mara nyingi STJ/K
mm14 na 7mm ndio zinafaa, halafu si umesema hiyo ni adjustable?
 
Umechanganya kidogo
mm15 ya pikipiki tena zile honda 110 mara nyingi STJ/K
mm14 na 7mm ndio zinafaa, halafu si umesema hiyo ni adjustable?
Hii sio adjustable.

Kwa Honda utahitaji ring spanner ya 10mm, wala sio C-Spanner kama hii yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…