Habari wana JF
Niko sehemu hapa ninapata balimi inayotoka jasho nikijivunia kuwa mtanzania. Nawaza kwa maandishi namna gani pale pombe inapokua imekaa sehemu yake kichwani ujasiri unaongezeka na uwezo wa kuongea kwa lugha mbali mbali unapoongezeka. Mwisho nimepata hitimisho baada ya pombe akili nyingi sana inatumika kufanya jambo dogo. Basi niwatakie weekend yenye mafanikio.