Kuna cku nmepanda basi Morogoro kuja Dar, mara jamaa akaibuka anauza vitabu vinahusu kilimo na biashara jamaa ameandika mwenyewe, nkamuuliza ushawah kulima? Ushawah kufanya biashara?
akaanza ooh ndio nmetoka chuo cjawah nimefanya tu research, nkamuambia haya poa