Eti jamani!!
Niliambiwa bandari ya Mtwara ina pwani kubwa sana na kina cha bahari ni kirefu kulinganisha na pwana ya Dar, Tanga & bagamoyo.
Mtwara ina gas why hiyo gas isafirishwe bagamoyo? Why lakini
Ina maana Mtwara aina eneo la kujenga kiwanda. Nauliza akuna kihamba!!!
Hizi ni akili au matope
Hata mtu uwe na akili za upimbi uwezi elewa hii ngonjera.
Wanachi wa mtwara wakiiruhusu hii gas itoke huko kama malighafi, watabaki kuwa masikini mpaka mwisho wa dunia.
Shinyanga leo ni vumbi tupu, almas ilipatikana lini? Nauliza
Mimi mwana mtwara, nauliza hii ni akili au matope yapo kwenye ubongo.