[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji24]Mwalimu Wa Hesabu aliingia darasani na akaanza kumuuliza Juma maswali:
MWALIMU: juu Ya Mti Kuna Ndege 20 Ukiichukua Bunduki Ukawapiga Ndege 2 watabaki wangapi?.
JUMA: hawatabaki wote wataruka kwa kuogopa mlio wa bunduki.
MWALIMU: hapana umekosa watabaki ndege 18 ila nimependa ulivyojibu umewaza mbalii.
JUMA: sawa mwalimu nami naomba nikuulize swali.
JUMA: kuna wadada wawili walinunua chocklet mmoja akawa ananyonya mwingine akawa analamba we unahisi yupi ni mke wa mtu?.
MWALIMU: nadhani mke wa mtu ni yule anaye nyonya.
JUMA: hapana mke wa mtu ni yule mwenye pete ya ndoa ila nimependa ulivyojibu umewaza mbaliii!...
Maskini mbavu zangu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tishaaa
mshana jr Hivi ni kwanini mwalimu alihisi anaenyonya ndo mke?..[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji24]
Sent from my INFINIX-X551 using JamiiForums mobile app
Mke wa mwalimu lazima huwa ananyonya sana!mshana jr Hivi ni kwanini mwalimu alihisi anaenyonya ndo mke?..
[emoji16][emoji23][emoji23]Hii inapatikana Jf,pekee....Mwalimu Wa Hesabu aliingia darasani na akaanza kumuuliza Juma maswali: