Akili imenikaa sawa, baada ya kuona vinyoyanyoya

Njoo kwangu mwaya ila uwe tayari kunioa mie kuchezewa sitaki.

siku hizi na sisi tumegoma kuchezewa...teh teh teh...njoo tupange maisha mtoto mzuri!
 
Hiyo ndio dawa yao! Ye aringe na papuchi yake we ringa na hela zako. akajimege mwenyewe km anaweza.

siku hizi na sisi tunaringa na dushe zetu!
 
Ukiona mwanamke sababu zinakuwa nyingi we sepa zako mapema, mara nyingi anakuwa ana hide jambo fulani. Huenda ana jamaa yako hapo kitaaa na hivyo anaogopa kuonekana nawewe public. Au huenda hakukubali na hivyo atakuwa ashamed kwa wenzie pindi anapooonekana nawe ( si unajua masister du huwa wako selective sana mpaka wakishatendwa na age imesoma mile ndo akili hukaa sawa).
 

we jamaa una experience kubwa na hawa viumbe...ah!.......nimefukuzia mbali!
 
astagafilu was the relationship short-term or long term au haikuwa na malengo everythng happen for a reason, hapo ofcn kwenu si wapo wadada rusha wavu uone kama itatoka na samaki
 
astagafilu was the relationship short-term or long term au haikuwa na malengo everythng happen for a reason, hapo ofcn kwenu si wapo wadada rusha wavu uone kama itatoka na samaki

kama mrembo mwenyewe haeleweki mi nifanyeje?....tunakwenda kwa mipango mkuu
 
Makubwa!! Mwezi mmoja unataka kumaliza kila kitu! Umeskia pipi hyo? Halafu uache uzinz kunywa maji ya kisima chako mwenyewe.
 
Papuchi papuchi papuchi my friend una nini wewe mbona wanaume wanakulilia?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…