Akili Chafu kajifunza wapi huyu Mwanaaaa

DU!!!! mwenyewe hana habari anachat na bebi fesibuku.
 
Madada wa ckuhz awavai chupi itakua dogo kaona washawasha.
 
Huyu dogo mtafiti napendekeza awe mwanasayansi.hakika atafanya vizuri.
 
Anaona Kitu bila ya chenga tena HD!!
 
Maumivu ya kichwa huanza polepole.............keshokutwa anahamia kwa HG huyooo
 
Dogo anajua hadi goody goodies zinapokaa. akifika umri wa babake itakuwaje ?
 
Na hapo dada kanogewa na baby wake wa facebook kiasi wala haisi kuna kitu kinaendelea nyuma, mmmmh nahisi dogo atakuwa ameona mdudu washawasha na hizi bikini za dada zetu!! Kazi ipo:confused2:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…