Sio kweli ACB ni moja kati ya benki zinazotoa huduma nzuri na wanawajali sana wateja wao lakini leo wanasema wamepata tatizo la umeme lililoathiri huduma zao.. Hata hivyo wameahidi kuwa kesho mambo yatakuwa shwali!
sio kweli acb ni moja kati ya benki zinazotoa huduma nzuri na wanawajali sana wateja wao lakini leo wanasema wamepata tatizo la umeme lililoathiri huduma zao.. Hata hivyo wameahidi kuwa kesho mambo yatakuwa shwali!
Ikifika tarehe 26 ni vizuri kuingia ndani ya bank hiyo kabisa, huwaga wana mtindo ikifika tarehe hizo wana disable machine zao kwa ajili ya transactions zao, hasa kukata madeni yao kutoka katika mishahara ya wafanyakazi. Ukienda ATM mida hiyo lazima uwe bored, zinakuwa on and off na zaidi off.