Akiba Commercial Bank

Akiba Commercial Bank

ghidoti

Member
Joined
Oct 22, 2013
Posts
11
Reaction score
0
Benki za Akiba hazina mtandao leo tokea asubuhi mpaka mda huu,hii imekaaje?
 
Akiba ni saccos sio benki

Sio kweli ACB ni moja kati ya benki zinazotoa huduma nzuri na wanawajali sana wateja wao lakini leo wanasema wamepata tatizo la umeme lililoathiri huduma zao.. Hata hivyo wameahidi kuwa kesho mambo yatakuwa shwali!
 
Akiba si Saccos hapo nakataa,vodacom inakataga network siku nzima,nayo ni Saccos?
 
sio kweli acb ni moja kati ya benki zinazotoa huduma nzuri na wanawajali sana wateja wao lakini leo wanasema wamepata tatizo la umeme lililoathiri huduma zao.. Hata hivyo wameahidi kuwa kesho mambo yatakuwa shwali!
akiba = saccos!
 
Hadi sasa no network niko kwenye ATM yao hapa Banana natumbua macho tu na mafuta sina
 
Hadi sasa no network niko kwenye ATM yao hapa Banana natumbua macho tu na mafuta sina

Ikifika tarehe 26 ni vizuri kuingia ndani ya bank hiyo kabisa, huwaga wana mtindo ikifika tarehe hizo wana disable machine zao kwa ajili ya transactions zao, hasa kukata madeni yao kutoka katika mishahara ya wafanyakazi. Ukienda ATM mida hiyo lazima uwe bored, zinakuwa on and off na zaidi off.
 
Back
Top Bottom