Akha!!

Wakubaliane na ukweli na waende SOBA HOUSE kwa Dada Pili Misana.
 
Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa.
 
ungeongezea walau ajira ziongezeke
 
Tuseme tu ukweli serikali swala la kuzuia madawa ya kulevya pamoja bangi hilo lilisha washinda kwanza kama bangi ndio ilitakiwa wailuhusu kabisa.
mkuu nasasahivi limewashinda..?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…