Raphael gadau
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 1,007
- 306
Akaunti yangu ya facebook leo nililog out kuingia tena inagoma wakati naingiza email yangu ileile ninayo ingilia kila siku na password yake cha ajabu inagoma maada tafadhali[emoji122]
Eti nini?Izime simu kisha iweke kwenye kibakuli cha maji kama dakika7
Kisha itoe uifute hlf washa simu hapo ni moja kwa moja unakua tayari ume facebukaaaaa
Eti nini?
Basi fresh kama fid QKwani umeelewa nini[emoji1321]