Akaunti ya PS4 imeblock internet, msaada tafadhali

Akaunti ya PS4 imeblock internet, msaada tafadhali

Anhaa sawa. Ila Fat zina shida moja ya kujizima na hii ishu hua inaenda kwa hatua, huanza kujizima na kujiwasha kisha hufikia inablink taa nyekundu ndiyo inakuja ya kijani kisha inakuja inaanza kublink ya njano ndiyo inakuja ya kijani.

Kisha inakuja inakua inabaki ya njano tu. Ikifika hapo hakuna chochote utafanya kuifufua.

Kama tatizo ni hilo nililosema bro itengeneze iuze. Coz ukiitengeneza haitamaliza mwaka itaanza tena.
Poa poa kaka.
 
mashine za kuchip na internet mbalimbali ukijichanganya tu umeblock game..bahati mbaya wengi wao wanaoweka games hawawezi kukupa tahadhari mapema..wanasubiri ujichanganye ndio wakupe onyo..hapa tayari ana uhakika wa kuingiza pesa nyingine kupitia kwako

game gani limeblock mkuu ,upo maeneo gani?naweza nikainstall tena kwa gharama za mtanzania mnyonge kwenye serikali ya awamu ya tano
Mkuu nipe namba yako niliupdate ps bila kujua magame yote yakajilock
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom