Akaunti ya Netflix

Akaunti ya Netflix

nicolas150

Member
Joined
Oct 16, 2016
Posts
26
Reaction score
15
Wakuu, naweza nunua account ya Netflix kwa bei reasonable maana naona vodacom master card wanasumbua sana kufanya malipo ya ku subscribe Netflix
 
Unaelewa kwamba akaunti ya Netflix ina private banking information za mtu?

Halafu viongozi wa serikali wakifanya rushwa mtu kama huyu atawalaumu?
 
Huko mpaka ulipie kutoka kadi ya benki ya Visa ama master card
 
T.me/Netflixafrica

Pata premium account kwa dola 6 tu mwezi mzima

Tuongeze limau na tangawizi
 
Back
Top Bottom