grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Kinyago namba moja wewe na wenzako mnaokimbia shule halafu mkitaraji usawa katika nafasi nyeti za uongozi. Mtaishia kupiga madufu kwenye ubwabwa wa mitaani mpaka mjitambue....Jibu hoja wewe kinyago? Watu wenyewe ufauru wenu ni wa kuiba mitihan, kwani nani ajui. Ndio maana Hamna competency wala integrity. Vibaka wakubwa. Precidents za takataka zenu ziko wazi, miramba, yoona, etc
Ungekuwa unajua kujibu hoja ungetueleza kwanza ile familia ya Maranda iliyokula Bilions za EPA ni dini gani....Na wataendelea kunyea debe mpaka wafie huko, ESCROW watatakiwa kuzirudisha tu hawatafungwa kwa kuwa wengi ni wasomi wa sheria. Teheteheteheteeeeee...